Native Bible

Psalms 94:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama Bwana asingelinisaidia upesi, ningelikuwa ninaishi katika ukimya wa kifo.

Psalms 94:17 in English

Psalms 94:17 · Berean Standard Bible

Unless the LORD had been my helper, I would soon have dwelt in the abode of silence.

Context

15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata. 16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu? 17Kama Bwana asingelinisaidia upesi, ningelikuwa ninaishi katika ukimya wa kifo. 18Niliposema, “Mguu wangu unateleza,” Ee Bwana, upendo wako ulinishikilia. 19Wakati wasiwasi ulipokuwa mwingi ndani yangu, faraja yako ilinipa furaha nafsini mwangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.