Native Bible

Psalms 94:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu?

Psalms 94:16 in English

Psalms 94:16 · Berean Standard Bible

Who will rise up for me against the wicked? Who will stand for me against the workers of iniquity?

Context

14Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake, hatauacha urithi wake. 15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata. 16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu? 17Kama Bwana asingelinisaidia upesi, ningelikuwa ninaishi katika ukimya wa kifo. 18Niliposema, “Mguu wangu unateleza,” Ee Bwana, upendo wako ulinishikilia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.