Native Bible

Psalms 94:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake, hatauacha urithi wake.

Psalms 94:14 in English

Psalms 94:14 · Berean Standard Bible

For the LORD will not forsake His people; He will never abandon His heritage.

Context

12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 13unampa utulivu siku za shida, mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa kwa ajili ya mwovu. 14Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake, hatauacha urithi wake. 15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata. 16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.