Zaburi 94:12
Psalms 94:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, mtu unayemfundisha kwa sheria yako,
Psalms 94:12 in English
Psalms 94:12 · Berean Standard Bible
Blessed is the man You discipline, O LORD, and teach from Your law,
Context
10Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu?
Je, awafundishaye wanadamu asiwe na maarifa? 11Bwana anajua mawazo ya mwanadamu;
anajua kwamba ni ubatili. 12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe,
mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 13unampa utulivu siku za shida,
mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa
kwa ajili ya mwovu. 14Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake,
hatauacha urithi wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.