Native Bible

Psalms 94:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anajua mawazo ya mwanadamu; anajua kwamba ni ubatili.

Psalms 94:11 in English

Psalms 94:11 · Berean Standard Bible

The LORD knows the thoughts of man, that they are futile.*

Context

9Je, aliyeweka sikio asisikie? Aliyeumba jicho asione? 10Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu? Je, awafundishaye wanadamu asiwe na maarifa? 11Bwana anajua mawazo ya mwanadamu; anajua kwamba ni ubatili. 12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 13unampa utulivu siku za shida, mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa kwa ajili ya mwovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.