Native Bible

Psalms 94:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata.

Psalms 94:15 in English

Psalms 94:15 · Berean Standard Bible

Surely judgment will again be righteous, and all the upright in heart will follow it.

Context

13unampa utulivu siku za shida, mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa kwa ajili ya mwovu. 14Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake, hatauacha urithi wake. 15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata. 16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu? 17Kama Bwana asingelinisaidia upesi, ningelikuwa ninaishi katika ukimya wa kifo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.