Native Bible

Psalms 92:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali wewe, Ee Bwana, utatukuzwa milele.

Psalms 92:8 in English

Psalms 92:8 · Berean Standard Bible

But You, O LORD, are exalted forever!

Context

6Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi, 7ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele. 8Bali wewe, Ee Bwana, utatukuzwa milele. 9Ee Bwana, hakika adui zako, hakika adui zako wataangamia. Wote watendao mabaya watatawanyika. 10Umeitukuza pembe* yangu kama ile ya nyati dume, mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.