Zaburi 92:9
Psalms 92:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, hakika adui zako, hakika adui zako wataangamia. Wote watendao mabaya watatawanyika.
Psalms 92:9 in English
Psalms 92:9 · Berean Standard Bible
For surely Your enemies, O LORD, surely Your enemies will perish; all evildoers will be scattered.
Context
7ingawa waovu huchipua kama majani
na wote watendao mabaya wanastawi,
wataangamizwa milele. 8Bali wewe, Ee Bwana,
utatukuzwa milele. 9Ee Bwana, hakika adui zako,
hakika adui zako wataangamia.
Wote watendao mabaya watatawanyika. 10Umeitukuza pembe* yangu kama ile ya nyati dume,
mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu. 11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa,
masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.