Native Bible

Psalms 92:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele.

Psalms 92:7 in English

Psalms 92:7 · Berean Standard Bible

that though the wicked sprout like grass, and all evildoers flourish, they will be forever destroyed.

Context

5Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako! 6Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi, 7ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele. 8Bali wewe, Ee Bwana, utatukuzwa milele. 9Ee Bwana, hakika adui zako, hakika adui zako wataangamia. Wote watendao mabaya watatawanyika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.