Native Bible

Psalms 92:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako!

Psalms 92:5 in English

Psalms 92:5 · Berean Standard Bible

How great are Your works, O LORD, how deep are Your thoughts!

Context

3kwa zeze yenye nyuzi kumi na kwa sauti ya kinubi. 4Ee Bwana, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha, nitaziimba kwa shangwe kazi za mikono yako. 5Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako! 6Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi, 7ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.