Native Bible

Psalms 92:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha, nitaziimba kwa shangwe kazi za mikono yako.

Psalms 92:4 in English

Psalms 92:4 · Berean Standard Bible

For You, O LORD, have made me glad by Your deeds; I sing for joy at the works of Your hands.

Context

2kuutangaza upendo wako asubuhi, na uaminifu wako wakati wa usiku, 3kwa zeze yenye nyuzi kumi na kwa sauti ya kinubi. 4Ee Bwana, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha, nitaziimba kwa shangwe kazi za mikono yako. 5Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako! 6Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.