Native Bible

Psalms 92:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa zeze yenye nyuzi kumi na kwa sauti ya kinubi.

Psalms 92:3 in English

Psalms 92:3 · Berean Standard Bible

with the ten-stringed harp and the melody of the lyre.

Context

1Ni vyema kumshukuru Bwana na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana, 2kuutangaza upendo wako asubuhi, na uaminifu wako wakati wa usiku, 3kwa zeze yenye nyuzi kumi na kwa sauti ya kinubi. 4Ee Bwana, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha, nitaziimba kwa shangwe kazi za mikono yako. 5Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.