Native Bible

Psalms 92:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni vyema kumshukuru Bwana na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana,

Psalms 92:1 in English

Psalms 92:1 · Berean Standard Bible

It is good to praise the LORD, and to sing praises to Your name, O Most High,

Context

1Ni vyema kumshukuru Bwana na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana, 2kuutangaza upendo wako asubuhi, na uaminifu wako wakati wa usiku, 3kwa zeze yenye nyuzi kumi na kwa sauti ya kinubi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.