Native Bible

Psalms 92:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu.

Psalms 92:11 in English

Psalms 92:11 · Berean Standard Bible

My eyes see the downfall of my enemies; my ears hear the wailing of my wicked foes.*

Context

9Ee Bwana, hakika adui zako, hakika adui zako wataangamia. Wote watendao mabaya watatawanyika. 10Umeitukuza pembe* yangu kama ile ya nyati dume, mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu. 11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu. 12Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, watastawi katika nyua za Mungu wetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.