Zaburi 92:12
Psalms 92:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni,
Psalms 92:12 in English
Psalms 92:12 · Berean Standard Bible
The righteous will flourish like a palm tree, and grow like a cedar in Lebanon.
Context
10Umeitukuza pembe* yangu kama ile ya nyati dume,
mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu. 11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa,
masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu. 12Wenye haki watastawi kama mtende,
watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 13waliopandwa katika nyumba ya Bwana,
watastawi katika nyua za Mungu wetu. 14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda,
watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.