Native Bible

Psalms 92:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

waliopandwa katika nyumba ya Bwana, watastawi katika nyua za Mungu wetu.

Psalms 92:13 in English

Psalms 92:13 · Berean Standard Bible

Planted in the house of the LORD, they will flourish in the courts of our God.

Context

11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu. 12Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, watastawi katika nyua za Mungu wetu. 14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu, 15wakitangaza, “Bwana ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.