Native Bible

Psalms 92:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakitangaza, “Bwana ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”

Psalms 92:15 in English

Psalms 92:15 · Berean Standard Bible

to proclaim, “The LORD is upright; He is my Rock, and in Him there is no unrighteousness.”

Context

13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, watastawi katika nyua za Mungu wetu. 14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu, 15wakitangaza, “Bwana ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.