Zaburi 91:11
Psalms 91:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote.
Psalms 91:11 in English
Psalms 91:11 · Berean Standard Bible
For He will command His angels concerning you to guard you in all your ways.
Context
9Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako:
naam, Bwana ambaye ni kimbilio langu, 10basi hakuna madhara yatakayokupata wewe,
hakuna maafa yataikaribia hema yako. 11Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako,
wakulinde katika njia zako zote. 12Mikononi mwao watakuinua,
ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe. 13Utawakanyaga simba na nyoka wakali,
simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.