Native Bible

Psalms 91:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utawakanyaga simba na nyoka wakali, simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu.

Psalms 91:13 in English

Psalms 91:13 · Berean Standard Bible

You will tread on the lion and cobra; you will trample the young lion and serpent.

Context

11Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote. 12Mikononi mwao watakuinua, ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe. 13Utawakanyaga simba na nyoka wakali, simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu. 14Bwana asema, “Kwa kuwa ananipenda, nitamwokoa; nitamlinda, kwa kuwa analikiri Jina langu. 15Ataniita, nami nitamjibu; nitakuwa pamoja naye katika taabu, nitamwokoa na kumheshimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.