Zaburi 91:15
Psalms 91:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ataniita, nami nitamjibu; nitakuwa pamoja naye katika taabu, nitamwokoa na kumheshimu.
Psalms 91:15 in English
Psalms 91:15 · Berean Standard Bible
When he calls out to Me, I will answer him; I will be with him in trouble. I will deliver him and honor him.
Context
13Utawakanyaga simba na nyoka wakali,
simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu. 14Bwana asema, “Kwa kuwa ananipenda, nitamwokoa;
nitamlinda, kwa kuwa analikiri Jina langu. 15Ataniita, nami nitamjibu;
nitakuwa pamoja naye katika taabu,
nitamwokoa na kumheshimu. 16Kwa siku nyingi nitamshibisha
na kumwonyesha wokovu wangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.