Native Bible

Psalms 91:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa siku nyingi nitamshibisha na kumwonyesha wokovu wangu.”

Psalms 91:16 in English

Psalms 91:16 · Berean Standard Bible

With long life I will satisfy him and show him My salvation.”

Context

14Bwana asema, “Kwa kuwa ananipenda, nitamwokoa; nitamlinda, kwa kuwa analikiri Jina langu. 15Ataniita, nami nitamjibu; nitakuwa pamoja naye katika taabu, nitamwokoa na kumheshimu. 16Kwa siku nyingi nitamshibisha na kumwonyesha wokovu wangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.