Zaburi 91:9
Psalms 91:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako: naam, Bwana ambaye ni kimbilio langu,
Psalms 91:9 in English
Psalms 91:9 · Berean Standard Bible
Because you have made the LORD your dwelling— my refuge, the Most High—
Context
7Ijapo watu elfu wataangukia kando yako,
kumi elfu mkono wako wa kuume,
lakini haitakukaribia wewe. 8Utatazama tu kwa macho yako
na kuona adhabu ya waovu. 9Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako:
naam, Bwana ambaye ni kimbilio langu, 10basi hakuna madhara yatakayokupata wewe,
hakuna maafa yataikaribia hema yako. 11Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako,
wakulinde katika njia zako zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.