Native Bible

Psalms 91:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utatazama tu kwa macho yako na kuona adhabu ya waovu.

Psalms 91:8 in English

Psalms 91:8 · Berean Standard Bible

You will only see it with your eyes and witness the punishment of the wicked.

Context

6wala maradhi ya kuambukiza yanayonyemelea gizani, wala tauni iharibuyo adhuhuri. 7Ijapo watu elfu wataangukia kando yako, kumi elfu mkono wako wa kuume, lakini haitakukaribia wewe. 8Utatazama tu kwa macho yako na kuona adhabu ya waovu. 9Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako: naam, Bwana ambaye ni kimbilio langu, 10basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, hakuna maafa yataikaribia hema yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.