Zaburi 9:5
Psalms 9:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele.
Psalms 9:5 in English
Psalms 9:5 · Berean Standard Bible
You have rebuked the nations; You have destroyed the wicked; You have erased their name forever and ever.
Context
3Adui zangu wamerudi nyuma,
wamejikwaa na kuangamia mbele zako. 4Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu;
umeketi kwenye kiti chako cha enzi,
ukihukumu kwa haki. 5Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu;
umeyafuta majina yao milele na milele. 6Uharibifu usiokoma umempata adui,
umeingʼoa miji yao;
hata kumbukumbu lao limetoweka. 7Bwana anatawala milele,
ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.