Native Bible

Psalms 9:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.

Psalms 9:7 in English

Psalms 9:7 · Berean Standard Bible

But the LORD abides forever; He has established His throne for judgment.

Context

5Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele. 6Uharibifu usiokoma umempata adui, umeingʼoa miji yao; hata kumbukumbu lao limetoweka. 7Bwana anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. 8Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kwa haki. 9Bwana ni kimbilio la watu wanaoonewa, ni ngome imara wakati wa shida.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.