Zaburi 9:8
Psalms 9:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kwa haki.
Psalms 9:8 in English
Psalms 9:8 · Berean Standard Bible
He judges the world with justice; He governs the people with equity.
Context
6Uharibifu usiokoma umempata adui,
umeingʼoa miji yao;
hata kumbukumbu lao limetoweka. 7Bwana anatawala milele,
ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. 8Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki,
atatawala mataifa kwa haki. 9Bwana ni kimbilio la watu wanaoonewa,
ni ngome imara wakati wa shida. 10Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe,
kwa maana wewe Bwana,
hujawaacha kamwe wakutafutao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.