Native Bible

Psalms 9:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako.

Psalms 9:3 in English

Psalms 9:3 · Berean Standard Bible

When my enemies retreat, they stumble and perish before You.

Context

1Ee Bwana, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu. 2Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana. 3Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako. 4Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu; umeketi kwenye kiti chako cha enzi, ukihukumu kwa haki. 5Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.