Native Bible

Psalms 9:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.

Psalms 9:2 in English

Psalms 9:2 · Berean Standard Bible

I will be glad and rejoice in You; I will sing praise to Your name, O Most High.

Context

1Ee Bwana, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu. 2Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana. 3Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako. 4Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu; umeketi kwenye kiti chako cha enzi, ukihukumu kwa haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.