Zaburi 82:5
Psalms 82:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. Wanatembea gizani; misingi yote ya dunia imetikisika.
Psalms 82:5 in English
Psalms 82:5 · Berean Standard Bible
They do not know or understand; they wander in the darkness; all the foundations of the earth are shaken.
Context
3Teteeni wanyonge na yatima,
tunzeni haki za maskini na walioonewa. 4Mwokoeni mnyonge na mhitaji,
wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. 5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote.
Wanatembea gizani;
misingi yote ya dunia imetikisika. 6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”;
ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 7Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida;
mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.