Native Bible

Psalms 82:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu.

Psalms 82:4 in English

Psalms 82:4 · Berean Standard Bible

Rescue the weak and needy; save them from the hand of the wicked.

Context

2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 3Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa. 4Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. 5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. Wanatembea gizani; misingi yote ya dunia imetikisika. 6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.