Native Bible

Psalms 82:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki na kuonyesha upendeleo kwa waovu?

Psalms 82:2 in English

Psalms 82:2 · Berean Standard Bible

“How long will you judge unjustly * and show partiality to the wicked? Selah

Context

1Mungu anaongoza kusanyiko kuu, anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”: 2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 3Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa. 4Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.