Native Bible

Psalms 82:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu anaongoza kusanyiko kuu, anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”:

Psalms 82:1 in English

Psalms 82:1 · Berean Standard Bible

God presides in the divine assembly; He renders judgment among the gods:

Context

1Mungu anaongoza kusanyiko kuu, anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”: 2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 3Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.