Zaburi 82:3
Psalms 82:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa.
Psalms 82:3 in English
Psalms 82:3 · Berean Standard Bible
Defend the cause of the weak and fatherless; uphold the rights of the afflicted and oppressed.
Context
1Mungu anaongoza kusanyiko kuu,
anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”: 2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki
na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 3Teteeni wanyonge na yatima,
tunzeni haki za maskini na walioonewa. 4Mwokoeni mnyonge na mhitaji,
wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. 5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote.
Wanatembea gizani;
misingi yote ya dunia imetikisika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.