Native Bible

Psalms 82:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.”

Psalms 82:7 in English

Psalms 82:7 · Berean Standard Bible

But like mortals you will die, and like rulers you will fall.”

Context

5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. Wanatembea gizani; misingi yote ya dunia imetikisika. 6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 7Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.” 8Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.