Native Bible

Psalms 82:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.

Psalms 82:8 in English

Psalms 82:8 · Berean Standard Bible

Arise, O God, judge the earth, for all the nations are Your inheritance.

Context

6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 7Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.” 8Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.