Native Bible

Psalms 8:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Psalms 8:9 in English

Psalms 8:9 · Berean Standard Bible

O LORD, our Lord, how majestic is Your name in all the earth!

Context

7Mifugo na makundi yote pia, naam, na wanyama wa kondeni, 8ndege wa angani na samaki wa baharini, naam, kila kiogeleacho katika njia za bahari. 9Ee Bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.