Native Bible

Psalms 8:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mifugo na makundi yote pia, naam, na wanyama wa kondeni,

Psalms 8:7 in English

Psalms 8:7 · Berean Standard Bible

all sheep and oxen, and even the beasts of the field,

Context

5Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima. 6Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake. 7Mifugo na makundi yote pia, naam, na wanyama wa kondeni, 8ndege wa angani na samaki wa baharini, naam, kila kiogeleacho katika njia za bahari. 9Ee Bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.