Native Bible

Psalms 79:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana wamemrarua Yakobo na kuharibu nchi ya makao yake.

Psalms 79:7 in English

Psalms 79:7 · Berean Standard Bible

for they have devoured Jacob and devastated his homeland.

Context

5Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? Wivu wako utawaka kama moto hadi lini? 6Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, juu ya falme za hao wasioliitia jina lako, 7kwa maana wamemrarua Yakobo na kuharibu nchi ya makao yake. 8Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno. 9Ee Mungu Mwokozi wetu, utusaidie, kwa ajili ya utukufu wa jina lako; tuokoe na kutusamehe dhambi zetu kwa ajili ya jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.