Zaburi 79:8
Psalms 79:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno.
Psalms 79:8 in English
Psalms 79:8 · Berean Standard Bible
Do not hold past sins against us; let Your compassion come quickly, for we are brought low.
Context
6Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali,
juu ya falme za hao wasioliitia jina lako, 7kwa maana wamemrarua Yakobo
na kuharibu nchi ya makao yake. 8Usituhesabie dhambi za baba zetu,
huruma yako na itujie hima,
kwa maana tu wahitaji mno. 9Ee Mungu Mwokozi wetu, utusaidie,
kwa ajili ya utukufu wa jina lako;
tuokoe na kutusamehe dhambi zetu
kwa ajili ya jina lako. 10Kwa nini mataifa waseme,
“Yuko wapi Mungu wenu?”
Mbele ya macho yetu,
dhihirisha kati ya mataifa
kwamba unalipiza kisasi damu iliyomwagwa
ya watumishi wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.