Native Bible

Psalms 79:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, juu ya falme za hao wasioliitia jina lako,

Psalms 79:6 in English

Psalms 79:6 · Berean Standard Bible

Pour out Your wrath on the nations that do not acknowledge You, on the kingdoms that refuse to call on Your name,

Context

4Tumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu, cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka. 5Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? Wivu wako utawaka kama moto hadi lini? 6Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, juu ya falme za hao wasioliitia jina lako, 7kwa maana wamemrarua Yakobo na kuharibu nchi ya makao yake. 8Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.