Native Bible

Psalms 79:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? Wivu wako utawaka kama moto hadi lini?

Psalms 79:5 in English

Psalms 79:5 · Berean Standard Bible

How long, O LORD? Will You be angry forever? Will Your jealousy burn like fire?

Context

3Wamemwaga damu kama maji kuzunguka Yerusalemu yote, wala hakuna yeyote wa kuwazika. 4Tumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu, cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka. 5Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? Wivu wako utawaka kama moto hadi lini? 6Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, juu ya falme za hao wasioliitia jina lako, 7kwa maana wamemrarua Yakobo na kuharibu nchi ya makao yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.