Zaburi 77:12
Psalms 77:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu.
Psalms 77:12 in English
Psalms 77:12 · Berean Standard Bible
I will reflect on all You have done and ponder Your mighty deeds.
Context
10Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu:
lakini nitakumbuka
miaka ya mkono wa kuume
wa Aliye Juu Sana.” 11Nitayakumbuka matendo ya Bwana;
naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani. 12Nitazitafakari kazi zako zote
na kuyawaza matendo yako makuu. 13Ee Mungu, njia zako ni takatifu.
Ni mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu? 14Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza,
umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.