Native Bible

Psalms 77:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: lakini nitakumbuka miaka ya mkono wa kuume wa Aliye Juu Sana.”

Psalms 77:10 in English

Psalms 77:10 · Berean Standard Bible

So I said, “I am grieved that the right hand of the Most High has changed.”*

Context

8Je, upendo wake usio na mwisho umetoweka milele? Je, ahadi yake imekoma nyakati zote? 9Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia huruma yake?” 10Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: lakini nitakumbuka miaka ya mkono wa kuume wa Aliye Juu Sana.” 11Nitayakumbuka matendo ya Bwana; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani. 12Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.