Native Bible

Psalms 77:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, upendo wake usio na mwisho umetoweka milele? Je, ahadi yake imekoma nyakati zote?

Psalms 77:8 in English

Psalms 77:8 · Berean Standard Bible

Is His loving devotion gone forever? Has His promise failed for all time?

Context

6nilikumbuka nilivyoimba nyimbo usiku. Moyo wangu ulitafakari na roho yangu ikauliza: 7“Je, Bwana atakataa milele? Je, hatatenda mema tena? 8Je, upendo wake usio na mwisho umetoweka milele? Je, ahadi yake imekoma nyakati zote? 9Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia huruma yake?” 10Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: lakini nitakumbuka miaka ya mkono wa kuume wa Aliye Juu Sana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.