Zaburi 77:9
Psalms 77:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia huruma yake?”
Psalms 77:9 in English
Psalms 77:9 · Berean Standard Bible
Has God forgotten to be gracious? Has His anger shut off His compassion?” Selah
Context
7“Je, Bwana atakataa milele?
Je, hatatenda mema tena? 8Je, upendo wake usio na mwisho umetoweka milele?
Je, ahadi yake imekoma nyakati zote? 9Je, Mungu amesahau kuwa na huruma?
Je, katika hasira amezuia huruma yake?” 10Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu:
lakini nitakumbuka
miaka ya mkono wa kuume
wa Aliye Juu Sana.” 11Nitayakumbuka matendo ya Bwana;
naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.