Native Bible

Psalms 77:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, njia zako ni takatifu. Ni mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu?

Psalms 77:13 in English

Psalms 77:13 · Berean Standard Bible

Your way, O God, is holy. What god is so great as our God?

Context

11Nitayakumbuka matendo ya Bwana; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani. 12Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu. 13Ee Mungu, njia zako ni takatifu. Ni mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu? 14Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza, umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa. 15Kwa mkono wako wenye nguvu umewakomboa watu wako, uzao wa Yakobo na Yosefu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.