Zaburi 77:14
Psalms 77:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza, umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa.
Psalms 77:14 in English
Psalms 77:14 · Berean Standard Bible
You are the God who works wonders; You display Your strength among the peoples.
Context
12Nitazitafakari kazi zako zote
na kuyawaza matendo yako makuu. 13Ee Mungu, njia zako ni takatifu.
Ni mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu? 14Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza,
umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa. 15Kwa mkono wako wenye nguvu umewakomboa watu wako,
uzao wa Yakobo na Yosefu. 16Maji yalikuona, Ee Mungu,
maji yalikuona yakakimbia,
vilindi vilitetemeka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.