Zaburi 77:16
Psalms 77:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maji yalikuona, Ee Mungu, maji yalikuona yakakimbia, vilindi vilitetemeka.
Psalms 77:16 in English
Psalms 77:16 · Berean Standard Bible
The waters saw You, O God; the waters saw You and swirled; even the depths were shaken.
Context
14Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza,
umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa. 15Kwa mkono wako wenye nguvu umewakomboa watu wako,
uzao wa Yakobo na Yosefu. 16Maji yalikuona, Ee Mungu,
maji yalikuona yakakimbia,
vilindi vilitetemeka. 17Mawingu yalimwaga maji,
mbingu zikatoa ngurumo kwa radi,
mishale yako ikametameta huku na huko. 18Ngurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli,
umeme wako wa radi ukaangaza dunia,
nchi ikatetemeka na kutikisika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.