Zaburi 71:21
Psalms 71:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utaongeza heshima yangu na kunifariji tena.
Psalms 71:21 in English
Psalms 71:21 · Berean Standard Bible
You will increase my honor and comfort me once again.
Context
19Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu,
wewe ambaye umefanya mambo makuu.
Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe? 20Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu,
utanihuisha tena,
kutoka vilindi vya dunia
utaniinua tena. 21Utaongeza heshima yangu
na kunifariji tena. 22Ee Mungu wangu, nitakusifu kwa kinubi
kwa ajili ya uaminifu wako;
Ee Uliye Mtakatifu wa Israeli,
nitakuimbia sifa kwa zeze. 23Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha
ninapokuimbia sifa,
mimi, ambaye umenikomboa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.