Native Bible

Psalms 71:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha ninapokuimbia sifa, mimi, ambaye umenikomboa.

Psalms 71:23 in English

Psalms 71:23 · Berean Standard Bible

When I sing praise to You my lips will shout for joy, along with my soul, which You have redeemed.

Context

21Utaongeza heshima yangu na kunifariji tena. 22Ee Mungu wangu, nitakusifu kwa kinubi kwa ajili ya uaminifu wako; Ee Uliye Mtakatifu wa Israeli, nitakuimbia sifa kwa zeze. 23Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha ninapokuimbia sifa, mimi, ambaye umenikomboa. 24Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki mchana kutwa, kwa maana wale waliotaka kunidhuru, wameaibishwa na kufadhaishwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.